Latest Games :

politics

| 0 maoni

viongozi serikalini wanawatumia kodi ya walalahoi vibaya na kutokujali ajira kwa vijana 
Tanzania yetu imeona ifafanue viongozi watanzania wanyopenda kumia madaraka vibaya katika uongozi wao
hivyo wananchi wa hali ya chini uteseka zaidi kwa kukosa kazi na kutangatanga mitahani jambo hili uleta matatizo yafuatayo

  • wananchi kujiingiza katika huuni
  • wananchi wanaweza kujiingiza kwenye huuni kutokana na kukosa ajira,mbaya zaidi sikuhizi kunamuonekano wa kazi kupeana kiundugu hivyo basi selikali hawanabudi kulifatilia swala hili maana wananchi waliopo majumbani na elimu zao bila kazi ni zaidi ya ELFU 6000  serikali waliangalie hili wananchi wanataabika wao wanadai waomgezewe posho hii aipendezi tuwe na roho za kiungwana


  • Vitendo viovu kuongezeka zaidi kama
  • wizi, ujambazi upokonyaji wa mali .nkhivyo basi serikali waangalie kwa kina kuhusu kazi kwa wananchi wake wananchi wanataabika sana juu ya ajira











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger