Latest Games :
Home » » SIASA IMEKUWA SEHEMU YA KUPEANA MATUSI

SIASA IMEKUWA SEHEMU YA KUPEANA MATUSI

Jumatatu, 2 Aprili 2012 | 2maoni


Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru


siasa imekuwa sehemu ya kupeana maneno ya kiuni na hili linaonyesha zaili kuwa viongozi wetu maarifa hawana  mbunge mwenye akili timamu hawezi akapanda jukwaani na kuongea maneno machafu kama haya

Share this article :

Maoni 2 :

  1. Huyu mbunge anatakiwa anyongwe afe na afe kabisa,hafai kwa mbunge.Na hao waliokuwa wanamsikiliza nakumshalia kwa maneno haya nao ni wapuuzi,wanawafundisha nini watoto wao?

    JibuFuta
  2. @mtoto wa mbunge atakuwa mbunge na wa fund viatu atakuwa fund viatu amesahau kama 99% ya wapiga kura ni watu maskini na hakuna anayetaka kumuona mwanawe akiwa fund viatu,ccm wajipange vingine la sivyo,,,

    JibuFuta

 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger