Latest Games :

Latest Post

c programming language

Jumatatu, 4 Mei 2015 | 0 maoni

For those who wants to study,practice and learn more about c and c++ programming language through their phone
 they can try using this program it available in playstore it is wonderful and so easier it shows errors and. Can correct the mistake

Click that link below

c programing application


c programming language
Continue Reading

Boom linaweza ongezeka toka 7500 -8500

Ijumaa, 1 Mei 2015 | 0 maoni

Kwa mwaka. Wa elimu 2015-2016 kunamabadiliko yanaweza kutokea kwa kuongezeka kwa kiwango cha 1000 kwa siku.
Meals and Accommodation
The Board may provide loans for Meals and Accommodation at the rate of Tzs 8,500 per day while on campus for theoretical instructions in the academic year.
Maelezo hayo ni ya loans board wenyewe....
http://www.heslb.go.tz/docs/guideline/guidelines_2015_16.pdf

Continue Reading

ACT WIKI YA UZALENDO TABORA

Jumatano, 15 Aprili 2015 | 0 maoni

ACT imeandaa wiki ya uzalendo ambayo itafanyika mkoa wa tabora
itafanyika tarehe 16/4/2015
wazungumzaji  zitto kabwe
anna mghwira - mwenyekiti
samsom mwigamba - katibu
afande sele pia atakuwepo katika mkutano huo pia na viongozi mbalimbali...

Continue Reading

MAJAMBAZI YAKAMATWA ARUSHA

Jumamosi, 11 Aprili 2015 | 0 maoni

majambazi yakamatwa moshi vijijini marangu mwika na kuchomwa moto na wananchi.
Eneo la mwika madukani,mda huu,wananchi wenye hasira kali wsmewaua na kuwachoma moto raia wawili wanao dhaniwa kuvunja na kuiba maduka mawili yote yakiwa yanamilikiwa na mtu mmoja,
Continue Reading
 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger