MKUTANO ULIOFANYIKA ARUSHA
wamesema kuwa kuna wanachama ccm walioamiakwenye chama chadema Wasema wameama ccm kwa kumkataa ROWASA
siosiri mati ulikuwa mkubwa sana uko arusha na mkutano umeshaisha ambao
ulikuwa unarushwa kupitia ARUSHA MAMBO FM ONLINE
lakini kuna muda ilisumbua kidogo sikuweza kupata taarifa ya mkutano zaidi kutokana
na matatizo ya urushaji wa matangazo kwa kutumia internet ulisumbua katika
radio ya RUSHA MAMBO FM
lakini wanachama wanaotaka kuamia chadema wameambiwa wafuate kadi za kujiunga
wameambiwa waende ofice ya chama GALNALO
mheshimiwa nassari mbunge wa chadema juumanne ataelekea bungeni kuapishwa bungeni
chadema wametangaza kuwa wana arusha watakao taka kuwasindikiza mbunge wa arumeru msafala utanzia
majani ya chai saa mbili kamili asubuhi kuelekea dodoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni