Latest Games :
Home » » MGOMO KATIKA HUDUMA YA USAFIRI

MGOMO KATIKA HUDUMA YA USAFIRI

Ijumaa, 10 Aprili 2015 | 0 maoni



Siku ya leo nchini kumekuwa na shida ya usafiri na kupelekea watu kuchelewa makazini vilevile mpaka wengine kutofika kabisa, kama tunavyoelewa kuwa usafiri wadalala na magari ya mikoani ndio tegemezi kuu kwa mwananchi na hakuna njia nyingine ya mwananchi wa hari ya chini kuweza uwezo wa kukodi usafiri binafsi vilevile hata maeneo mengine daladala hazijafanya kazi siku nzima ya leo

serikali ya ombwa kuwasikiliza mawazo ya wamiliki wa vyombo hivyo maana kinachoendelea ni nchi kukosa mapato ambayo yanatokana na manunuzi ya abiria hao kwa wanapoelekea vilevile mafuta kuto nunulika kwa wingi kama ilivyo kawaida hivyo basi niasara kubwa itakayo patika na kutokuwepo kwa usafiri
Share this article :

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger