Latest Games :
Home » » POLISI KINONDONI WASHIKILIA WATU 51 AMBAO NI WAFUASI WA EFATHA

POLISI KINONDONI WASHIKILIA WATU 51 AMBAO NI WAFUASI WA EFATHA

Jumatatu, 30 Aprili 2012 | 0 maoni

POLISI KINONDONI WASHIKILIA WATU 51 AMBAO NI WAFUASI WA EFATHA

WATU WANAODAIWA KUWA WAUMINI WA KANISA LA EFATHA LILILOKO MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM WAMEVAMIA KIWANDA KILICHOPO KARIBU NA KANISA HILO CHA AFRO PLUSS NA KUKICHOMWA MOTO HALI ILIYOIBUA VURUGU HADI NDANI YA KANISA AMBAPO ASKARI POLISI WAMELAZIMIKA KUTUMIA RISASI KUZIMA VURUGU HIZO


Share this article :

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger