Elimu ya tanzania inabidi iangaliwe wanafunzi wanasoma katika mazingira magumu
mimi naomba maoni yenu wananchi mwalimu anawatoa wanafunzi nje kufanya mtihani wakati nje kunajua kali na bila shaka mwanafunzi akilalamika mwalimiu hapa jua atapata viboko asivyo vitegemea hii haifahi
Tuwasomeshe watoto katika mazingila mazuri tunajua tunashida lakini matatizo mengine yanasababiswa na uongozi wetu
nini kifanyike wananchi toeni maoni yenu kupitia page hii ya tanzania yetu
vilevile naona kunashule zengine ziondolewe kabisa mfano unakuta shule ina matokeo mabaya mfululizo
walimu waondolewe shule iondolewe maana imeshindwa kuwaandaa wanafunzi katika mtihani
nakama kuna wanfunzi watukutu basi hawana sifa yakuwa wanfunzi nao waondoke pia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni