Latest Games :
Home » » MAELEZO ZAIDI JUU YA MSIBA WA STEVEN KANUMBA

MAELEZO ZAIDI JUU YA MSIBA WA STEVEN KANUMBA

Jumamosi, 7 Aprili 2012 | 1maoni

MAELEZO KUTOKA KWA MDOGO WA STEVEN KANUMBA

Mdogo wake  marehemu Steven kanumba Ameeleza  kuwa elizabeth michael  maarufu kama Lulu alikuja nyumbani kukawa na kaugomvi ambapo wakaingia chumbani, lakini wakiwa huko baada ya muda Lulu alitoka na kumuita kwa  kumwambia kanumba kaanguka,  alipomtazama kweli anatoka mapovu ikabidi akimbie kwenda kumuita daktari wa kanumba ambapo aliporudi, Lulu alikua ameshakimbia japo alikamatwa na polisi na sasa yuko kwenye kituo cha Polisi Osterbay kwa ajili ya mahojiano.


THE SOURCE FROM millardayo
Share this article :

Maoni 1 :

  1. It's very informative stuff but can you tell me how to hack viber without target phone it is quit similar with your article.

    JibuFuta

 
Support : Creating Website | chrisantus and friends | Mas Template
Copyright © 2015. Tanzania yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger