Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru
siasa imekuwa sehemu ya kupeana maneno ya kiuni na hili linaonyesha zaili kuwa viongozi wetu maarifa hawana mbunge mwenye akili timamu hawezi akapanda jukwaani na kuongea maneno machafu kama haya
Related posts
If you enjoyed this article just click here, or subscribe to receive more great content just like it.
Huyu mbunge anatakiwa anyongwe afe na afe kabisa,hafai kwa mbunge.Na hao waliokuwa wanamsikiliza nakumshalia kwa maneno haya nao ni wapuuzi,wanawafundisha nini watoto wao?
JibuFuta@mtoto wa mbunge atakuwa mbunge na wa fund viatu atakuwa fund viatu amesahau kama 99% ya wapiga kura ni watu maskini na hakuna anayetaka kumuona mwanawe akiwa fund viatu,ccm wajipange vingine la sivyo,,,
JibuFuta