Basi kampuni ya ratco ya kutoka tanga na ngorika kutoka arusha zimegongana uso kwa uso muda huu eneo la tengwe idadi ya vifo ni vingi ila idadi bado aijajulikana pia gari aina ya noah ndiyo iliyosababisha ajali hiyo kwenye noah inasemekana ni familia moja wote wamefariki taarifa kamili itakuja.
Habari kamili itawafikia.....@steve mnyifuna
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni