dalaja la kigamboni baada ya miaka mitano ijayo
itakuwa vyema sana maana wanavyotupiga nauli pale ferry sio mchezo mia 200 kwa kila kichwa ni kubwa kwa maisha ya bongo zaidi kwa watu wasio na kazi naona hata hiyo miaka ni mingi maana wamesema linaweza kuisha 2015 nakatika tanzania yetu hii linaweza kukamilika 2020 kutokana na siasa nyingi kuliko vitendo

na wizi wa mali za umma ndio unao turudisha nyuma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni